Ni huduma ya kusafirisha na kusambaza nyaraka na vipeto muhimu kwa haraka na usalama ndani na nje ya nchi kwa malipo yanayowezesha kufikishwa hadi nyumbani.
Serikali imeanzisha vituo vya huduma pamoja ndani ya ofisi za Posta ili kuboresha utoaji wa huduma za Serikali kwa kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano.
Kwa bei nafuu sana Posta inakufikishia barua, nyaraka na vifurushi kutoka popote pale ulimwenguni mpaka mlangoni kwako
Huduma ya sandukua inakupa sehemu salama na ya kudumu ya kupokea barua na nyaraka zako muhimu bila wasiwasi wa kupotea au kuchelewa. Ni suluhisho rahisi, salama na linalofaa kwa watu binafsi na biashara zinazohitaji uhakika wa mawasiliano.
Tunakusafirishia mizigo yenye uzito mkubwa zaidi ya kilogram 30 au yenye umbo lisiloweza kufungwa kama kifurushi na kutumwa
Tunakufikishia barua, nyaraka na vifurushi kutoka ndani na nje ya nchi mpaka mlangni kwako.
MHE. KAIRUKI ATEMBELEA POSTA ZANZIBAR
Atoa wito kwenda katika soko la ushindani na la kisasa
Jan 27, 2026
SIKU YA POSTA AFRIKA, JANUARI 18, 2026
“Posta: Kuchochea Ushirikiano na Ubunifu ilikuwezesha Biashara Mtandao Jumuishi naEndelevu.”
Jan 18, 2026
POSTA TANZANIA YAGUSA JAMII
POSTA TANZANIA YAGUSA JAMII KUPITIA HUDUMA ZA VIPIMO VYA AFYA NA MSAADA KWA WAGONJWA
Jan 08, 2026
FURSA FURSA
Wanafunzi hii ndiyo fursa yako kung'ara!
Shiriki Shindano la Uandishi wa Barua na uoneshe ubun…
Ofisi ya Postamasta Mkuu Posta House 7 Mtaa wa Ghana, S.L.P 9551 11300, Dar es Salaam Telegramu: POSTGEN Nukushi: (022) 2113081 Namba ya Simu: +255735008008 Barua Pepe: pmg@posta.co.tz Tovuti: www.posta.co.tz