UPANGISHAJI NA MILIKI (REAL ESTATE).
Shirika limamiliki viwanja wazi na majengo kwa ajili ya kupangisha ofisi na nyumba za kuishi katika mikoa mbalimbali nchini:
-
Hukodisha kumbi kwa ajili ya matukio na mikutano katika mikoa mbalimbali.
-
Maeneo ya kuegesha magari ya watu binafsi na taasisi kwa bei nafuu sana.
-
Hupangisha maeneo ya kuweka mabango ya matangazo na kusimika minara ya mawasiliano.
Mteja anaweza kutembelea Mfumo wa Posta Kiganjani App ili kupata huduma mbalimbali kulingana na uhitaji wake.