Tunawatakia Kumbukizi njema ya Miaka 53 ya kifo cha Shujaa wetu, Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.