News Single

News Single

SALAMU ZA PONGEZI

Blog Single

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) wanatoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi  kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.