Shirika la Posta Tanzania linawatakia waislamu na watanzania wote Kwa ujumla Eid njema iliyojaa amani na mshikamano.