Watumishi wa Shirika la Posta Tanzania wakiwa tayari kuwadumia wananchi katika Banda la Posta lililopo Viwanja vya Sabasaba.