Meneja wa banda la Posta katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara (SABASABA 2026) akutana na abiria wanaotumia usafiri wa Royal Baggies kuzunguka katika maeneo mbalimbali ndani ya Viwanja vya maonesho.