Watumishi wa shirika la Posta Tanzania wakiwa katika shughuli za kutoa huduma na kuwaelezea wafanyabiashara na wananchi kuhusu huduma za Posta.