Huduma ya Barua ya Utambulisho wa ukaazi sasa inapatikana katika Ofisi za Shirika la Posta Tanzania kwenye kituo cha Huduma Pamoja.