Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye akikabidhi zawadi kwa washindi wa kwanza katika mashindano mbalimbali yaliyoandaliwa na Shirika la Posta Tanzania katika kuelekea Siku ya Posta Duniani iliyoadhimishwa tarehe 09 Oktoba, 2022.