JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

...

LIPIA ADA YA SANDUKU LAKO LA POSTA

Lipia Sanduku lako la Posta ili kuepuka usumbufu. Mwisho wa kulipia ni TAREHE 31 Machi, 2025.

Mar 10, 2025
...

HERI YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Tunawasherehekea wanawake wote kwa juhudi zao, ubunifu, na michango yao katika jamii na dunia nzima.

Mar 08, 2025
...

TUNAWATAKIA KWARESMA NJEMA

TUNAWATAKIA WAKRISTO WOTE KWARESMA NJEMA!

Mar 05, 2025
...

RAMADHAN KAREEM

Tunawatakia Waislam wote Heri ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Mar 02, 2025
ChatbotChat with Dia
×

Are you sure you want to leave this conversation?


© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA