JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA


 

DUKA LA KUUZA NA KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI

Huduma ya kubadilisha (kuuza na kununua) fedha za kigeni hutolewa kupitia maduka ya kubadilisha fedha za kigeni ya Posta. Gharama zake ni za ushindani kulingana na hali ya soko. Tunajivunia kutoa viwango bora vya ubadilishaji wa fedha za kigeni kwa wateja wetu.

Huduma hizi zinapatikana kwenye matawi yafuatayo:

  • Mkoa wa Dar es Salaam: Posta Kuu DSM, Airport Termina II na III, Posta ya Libya, Posta ya Kariakoo, Posta ya Oysterbay, Posta ya Kijitonyama na Posta ya Sokoine.
  • Mkoa wa Arusha: Posta Kuu Arusha, Posta ya Namanga, Posta ya Karatu.
  • Zanzibar: Posta Kuu Zanzibar, Zanzibar Airport na Posta ya Kijangwani.
  • Mkoa wa Kilimanjaro: Kilimanjaro Airport na Posta ya Marangu-Moshi.
  • Mkoa wa Kigoma: Posta Kuu Kigoma (HPO) na Posta ya Kasulu.
  • Mkoa wa Mwanza: Posta Kuu Mwanza (HPO) na Mwanza Airport.
  • Mkoa wa Mbeya: Posta Kuu Mbeya (HPO) na Posta ya Tunduma
  • Mkoa wa Morogoro: Posta Kuu Morogoro (HPO)
  • Mkoa wa Dodoma: Posta Kuu Dodoma (HPO).

 

 

 

Rudi Juu

© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA