JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA


UPANGISHAJI NA MILIKI (REAL ESTATE).

Shirika linamiliki viwanja vya wazi na majengo kwa ajili ya kupangisha pamoja na ofisi na nyumba za kuishi katika mikoa mbalimbali nchini:

  • Sharika linakodisha kumbi kwa ajili ya matukio na mikutano katika mikoa mbalimbali.

  • Maeneo ya kuegesha magari ya watu binafsi na taasisi kwa bei nafuu sana.

  • Hupangisha maeneo ya kuweka mabango ya matangazo na kusimika minara ya mawasiliano.

Mteja anaweza kutembelea Mfumo wa Posta Kiganjani App ili kupata huduma mbalimbali kulingana na uhitaji wake.

 

 

Rudi Juu

© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA