JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA


 

        UWEKEZAJI BENKI YA TAIFA YA BIASHARA (TCB) BANK

Shirika la Posta ni mwekezaji kwenye Benki ya Taifa ya Biashara tangu mwaka 1992. Wakati huo Shirika la Posta na Simu yalikuwa pamoja na Benki ya Posta. Baada ya kutengana Shirika lilikuwa linamiliki asiliamia 30% lakini kutokana na kutoendelea kuwekeza limebakia na 7% ambayo ni sawa na Tshs…..Hii hulipatia Shirika  mgao wa faida.

 

Rudi Juu

© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA