Pata huduma zote za Posta kiganjani kwako kwa kutumia simujanja yako kwa Posta kiganjani programu
Hakuna zoezi la kuhuisha taarifa za anwani na namba ya simu kama masharti ya kufikishiwa Mzigo wako. Hivyo taarifa zinazosambazwa ni za uongo na hazihusiani na Shirika letu!
Ofisi ya Postamasta Mkuu Posta House 7 Mtaa wa Ghana, S.L.P 9551 11300, Dar es Salaam Telegramu: POSTGEN Nukushi: (022) 2113081 Namba ya Simu: +255738070702/+255735008008 Barua Pepe: pmg@posta.co.tz Tovuti: www.posta.co.tz
Posta Kiganjani ni jukwaa la kidijitali ambalo linalenga kubadilisha shughuli za huduma za posta kuwa muundo wa kidijitali. Inapatikana kwenye PlayStore na AppleStore