LIPIA ADA YA SANDUKU LAKO LA POSTA SASA
![](/media/WhatsApp_Image_2024-03-05_at_11.19.23_5hQdl9g.jpeg)
Ndugu Mteja wetu wa thamani tunakukumbusha kulipia Ada ya Sanduku lako la Posta...
Lipia sasa kabla ya tarehe 31 Machi, 2024!
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0718 900700/ 0738 070702 au tembelea ofisi zetu zilizo Karibu nawe.