Habari
SALAMU ZA PONGEZI
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) wanatoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

