Habari
SALAMU ZA PONGEZI
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) wanatoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

