Habari
WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2025

Katika Wiki ya Huduma kwa Wateja 2025, yenye kauli mbiu ya "Mission Possible" tuna lengo moja kuu: Kuzidi matarajio ya wateja wetu kila siku kwa kila huduma!
Tunawakumbusha kuwa tuna dhamira ya kuendelea kuwahudumia kwa viwango vya juu na kusisitiza kuwa kila changamoto ina suluhisho.
Tupo kazini kuhakikisha kila changamoto ya mteja inapata majibu kwa sababu kwa Posta huduma bora si chaguo ni wajibu.