Habari
WATEJA WAPATA HUDUMA BANDA LA POSTA
Wadau na wananchi mbalimbali wanaoendelea kutembelea banda la Shirika la Posta Tanzania katika Kongamano la 10 la Ununuzi wa Umma 2026 wakipata elimu na huduma mbalimbali zinazotolewa na Shirika.

Aidha, Shirika linawakaribisha wananchi wote kutembelea banda lake ili kujionea huduma bora na fursa zinazopatikana.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano,
Shirika la Posta Tanzania.

