Habari
Eid-al-Fitr

Viongozi, Menejimenti pamoja na Watumishi wa Shirika la Posta Tanzania tunawatakia waislamu wote pamoja na Watanzania kwa ujumla sikukuu njema ya Eid-al-Fitr.
Tusherehekee kwa amani na upendo baina yetu.