Habari
HAPPY MOTHER'S DAY
Leo, Shirika la Posta Tanzania linaungana na dunia kuadhimisha Siku ya Mama Duniani kwa kutambua mchango mkubwa wa Mama katika familia, jamii na maendeleo ya taifa.
Katika siku hii maalumu, Shirika la Posta Tanzania linatoa salamu za pongezi kwa Mama wote nchini kwa kazi kubwa wanayoifanya kila siku, huku likiahidi kuendelea kushirikiana nao katika kuhakikisha huduma bora na jumuishi zinawafikia wananchi wote.
Imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano
Shirika la Posta Tanzania

