JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Habari

BARUA YA UTAMBULISHO INAPATIKANA POSTA


Huduma ya Barua ya Utambulisho wa ukaazi sasa inapatikana  katika Ofisi za Shirika la Posta Tanzania kwenye kituo cha Huduma Pamoja.


© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA