Habari
KAHAWA FESTIVAL

Tunakusafirishia ladha ya kahawa yako hadi ulipo!
Shirika la Posta Tanzania linahakikisha kahawa unayoipenda kutoka Moshi inakufikia popote ulipo. Kupitia huduma zetu za usafirishaji wa haraka na uhakika, unaweza kufurahia ladha halisi ya kahawa bila kujali umbali.