JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Habari

KARIBUNI SANA


Karibu sana katika uzinduzi wa Dawati la Uwekezaji. Dawati la uwekezaji ni dawati lililobuniwa na Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na Kampuni ya Vertex International Securities (Wakala wa Soko la Hisa) likilenga kutoa huduma ya Kuuza na kununua Hisa, Hatifungani na Vipande kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)


© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA