Habari
MAKABIDHIANO

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) akikabidhi kirungu na mkoba kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Salim Milanzi na mkoba kwa Wajumbe wa Bodi ya Shirika hilo ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Bodi hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya ofisi hizo jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Novemba, 2024.