JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Habari

MAHARAGE CHANDE AANZA KAZI RASMI.


MAHARAGE CHANDE AANZA KAZI RASMI.

Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Maharage Chande akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Bw. Macrice Mbodo mara baada ya kuteuliwa kwakwe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan mnamo Tarehe 25 Septemba 2023 kuwa Postamasta Mkuu wa Shirika hilo.

Tukio hilo limefanyika katika Makao Makuu ya Shirika la Posta, Jijini Dar es Salaam. 

Imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano;
Shirika la Posta Tanzania;
27 Septemba 2023.

Rudi Juu

© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA