Habari
MFANYAKAZI HODARI WA POSTA
Bodi ya wakurugenzi, Menejimenti na wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania tunakupongeza kwa uchapakazi wako.
Umekuwa chachu ya matokeo chanya ya Shirika letu.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano
Shirika la Posta Tanzania

