JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Habari

STEMPU ZETU ZINAVUKA MIPAKA


Banda la Posta Tanzania linaendelea kuvutia wageni kutoka mataifa mbalimbali. Bi. Sun Jiamiy kutoka Jamhuri ya Watu wa China ni miongoni mwa waliotembelea banda letu na kujipatia stempu za Posta Tanzania.



Karibu ujionee mkusanyiko wa stempu zetu na historia inayosimuliwa kupitia kila stempu.


© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA