JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Habari

LIPIA ADA YA SANDUKU LAKO LA POSTA


Posta Kiganjani inakuwezesha kulipia Sanduku lako ukiwa mahali popote.

Kwa Raha Zako lipia sasa uendelee kufurahia huduma zetu.

Mwisho wa kulipia ni tarehe 31 Machi, 2025.


© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA