JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Habari

LIPIA ADA YA SANDUKU LAKO LA POSTA


Lipia Sanduku lako la Barua kupitia Posta Kiganjani kwa kupakua “Application” yetu ya Posta Kiganjani kwenye simu yako (Android au IOS)

Katika App yetu utachagua huduma ya Physical Box na Kisha utajihudumia na kupata control Number yako kwa ajili ya malipo


© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA