Habari
POSTA BUREAU DE CHANGE

Tuko hapa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Julius Nyerere katika Kongamano la Kimataifa linalojulikana kama 'eLearning Africa', tunatoa huduma za;
1️⃣ Bureau De Change
2️⃣ Huduma za Usafirishaji
Kongamano hili linakutanisha wataalamu na makundi mbalimbali ya wadau wapatao 1,500 kutoka Nchi zaidi ya 65 za Afrika na kwingineko duniani kwa lengo la
kujadili, kujifunza, kubadilishana uzoefu, na kuainisha mipango na mikakati ya pamoja katika kuimarisha matumizi ya teknolojia za kidijitali katika sekta ya elimu.