Habari
POSTA KITAA

Shirika la Posta Mkoa wa Dar es Salaam wakiendelea na kampeni maalum ya kutangaza huduma za Shirika hususani Masanduku ya Barua katika wilaya ya Ubungo.
Maeneo yaliyofikiwa Mbezi, Kimara, Ubungo, Manzese na Mabibo.
"Posta Kitaa twende kidijitali hadi Mtaani Kwako"