JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Habari

POSTA YASHIRIKI MEI MOSI NJOMBE 2026


Shirika la Posta Tanzania limeungana na wafanyakazi wengine nchini kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kitaifa, tarehe 1 Mei 2026, Njombe.

Mgeni Rasmi: Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kauli Mbiu: “Kazi zenye Staha ni Nguzo Imara kwa Maendeleo endelevu katika Utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050.”

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano
Shirika la Posta Tanzania


© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA