Habari
TUZO IMEFIKA
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Gaudence Salim Milanzi, akiwa na Postamasta Mkuu Bw. Macrice Mbodo na viongozi wa Banda la Posta, wakionyesha tuzo zilizotwaliwa na Shirika katika Maonesho ya Sabasaba 2026.


