JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Habari

TPC YASHIRIKI UWASILISHAJI WA BAJETI


Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya  Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakifuatilia uwasilishaji wa Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2025/ 2026 bungeni jijini Dodoma leo 16 Mei, 2025.



Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Posta Tanzania  Balozi Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Salim Milanzi (kwanza  kulia) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdullah ( wa kwanza kulia) akifuatiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Nicholaus Mkapa pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Juma Hassan J. Reli. 


Bw. Macrice Mbodo, (kulia) Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania  akiwa na Mtendaji Mkuu wa UCSAF Bw. Peter Mwasalyanda.


© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA