JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Habari

ZIARA YA MHE. ANGELLAH KAIRUKI POSTA


Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Macrice Mbodo, akiwasilisha taarifa ya utendaji wa Shirika kwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) wakati wa ziara ya Waziri huyo katika Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam.

                      

Taarifa hiyo imeeleza mafanikio, changamoto na mikakati ya mageuzi ya kidijitali na uboreshaji wa huduma za Posta nchini.


© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA