JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Habari

WASHINDI UANDISHI WA BARUA 2025


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nicholaus Merinyo akikabidhi zawadi ya Laptop, Hundi na cheti kwa Mshindi wa Kwanza kitaifa kwenye shindano la uandishi wa barua 2025 ambaye ni Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kilakala - Morogoro Irene Ezron Shoo wakati wa Hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani tarehe 09 Oktoba, 2025.

 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nicholaus Merinyo akikabidhi zawadi ya Laptop, Hundi na cheti kwa Mshindi wa Pili kitaifa kwenye shindano la uandishi wa barua 2025 ambaye ni Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Shekh Mustapha Memorial - Bukoba Mauduud Fakharudin Mwemezi wakati wa Hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani tarehe 09 Oktoba, 2025

 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nicholaus Merinyo akikabidhi zawadi ya Laptop, Hundi na cheti kwa Mshindi wa tatu kitaifa kwenye shindano la uandishi wa barua 2025 ambaye ni Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mugumu - Serengeti Paul Phabianus Mwigicho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani tarehe 09 Oktoba, 2025


© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA