Habari
ZIGO TENI TENI
Kwa Buku Teni, unatuma mzigo wako chap chap kwa ndugu, jamaa na marafiki, popote walipo.
Huduma ni rahisi, ya haraka na ya kuaminika—ikikuhakikishia mzigo wako unafika salama kwa wakati.
Karibu tukuhudumie.

