Ofisi ya Postamasta Mkuu Posta House 7 Mtaa wa Ghana, S.L.P 9551 11300 Dar es Salaam Telegramu: POSTGEN Nukushi: (022) 2113081 Namba ya Simu: +255684887551 Barua Pepe: pmg@posta.co.tz Tovuti: www.posta.co.tz
Posta Kiganjani ni jukwaa la kidijitali ambalo linalenga kubadilisha shughuli za huduma za posta kuwa muundo wa kidijitali. Inapatikana kwenye PlayStore na AppleStore